Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. David LuizBeki huyu kitasa wa Arsenal ameonekana kujifua vilivyo akiwa nyumbani kwake. Ikiwa ni mojawapo ya njia ya kujiweka tayari iwapo ligi hiyo itaanza tena. Kwa sasa timu yake ya Arsenal imesimamisha mazoezi na shughuli zote kutokana na hatari ya virusi vya corona vilivyo ripotiwa kumkumba kocha wa klabu hiyo, Mikel Arteta wiki iliyopita.
 
Wana nini mbona unaanza kuwasema vibaya?
Mi nawapenda Wandali kwakuwa Mh Steven Kibona aliyekuwa mbunge wao, alitendea haki Wizara ya Fedha.
Alifanya mageuzi makubwa ya uchumi wa Tanzania uliokuwa umevurugwa na wakomonist wa nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema sisi washamba huku wao ndio vinara wakishirikiana na wenzao wasukuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mane alionekana akiwa na anafanya mazoezi ya kukimbia kwenye mashine maalumu ya akiwa na mchezaji wa Oldham Athletic, Segbe Akanpo, ambaye ndiye aliyeweka picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram iliyowaonesha wawili hao wakiwa mazoezini.
 
5. Christian PulisicKiungo huyu mshambuliaji wa Chelsea ameonekana kujiweka fiti baada ya kutoka kwenye majeraha ya misuli aliyoyapata Januari mwaka huu. Anafanya mazoezi nyumbani kwake katika kipindi hiki ambacho klabu yake haifanyi mazoezi. Hii imetokea baada ya kikosi kizima cha Chelsea kuzuiwa kuendelea na shughuli za kawaida za kitimu kufuatia straika wa timu hiyo Callum Hudson-Odoi, kukutwa na mambukizi ya virusi hivyo.
 
6. Florian LejeuneBeki huyu anachezea Newcastle United naye pia alionekana kufidia muda ambao anaukosa kufanya mazoezi na timu, kwa kuamua kufanya kukimbia akiwa nyumbani kwake. Ikiwa ni moja ya njia ya kujiweka sawa iwapo Ligi Kuu England itakuwa imeruhusiwa kuendelea tena.
 
Mmoja kati ya wachezaji wa klabu ya Buyern Munich, Jerome Boateng ameonekana kutojali na kuendela kula maisha baada ya kuonekana akiwa anapiga danadana kwa kutumia karatasi za choon.
 
Back
Top Bottom