Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini, licha ya Italia kuwa nchi mojawapo ya Ulaya iliyoathirika zaidi na mlipuko wa virusi hivyo, Spadafora amedai Serie A itarudi Mei 3, huku akisisitiza uamuzi wa mechi kuchezwa na mashabiki ama la utafanyika baadaye.