Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kauli hiyo ya Lugo aliitoa wakati akielezea tuhuma kwamba staa huyo wa zamani wa Barcelona alishiriki kwenye utakatishaji pesa. Ronaldinho alienda Paraguay kushiriki kwenye tukio la kijamii lililojulikana kwa jina la Angelical Fraternity, lakini alikamatwa na polisi pamoja na kaka yake Roberto de Assis kwa tuhuma za kutumia hati feki za kusafiria mapema mwezi huu.
 
ARSENAL imekubali yaishe kwa Pierre-Emerick Aubameyang, sasa itamu-weka sokoni wakati wa kiangazi na kuna taarifa Manchester United, Barcelona na Paris Saint Ger-main zinamtolea macho.Inaelezwa Arsenal imekubali straika huyo hatasaini mkataba mpya ndani ya klabu hiyo licha ya kuboreshewe mambo kibao katika ofa ambayo miamba hiyo ya Emirates imempa.
 
Marahaba bebi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

(Treni kwa mbele ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16])
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...

Baada ya mafunzo kuisha nilikutana na jamaa yangu aliyetoka jeshini sasa wakati wa maongezi alidondokewa na Mjusi, sasa kelele alizopiga na kule kujirusha rusha ilikua ni vichekesho...

Samahani kwa hadithi ndefu ila nia ni kukuambia Jeshi halikupi uhakika wa kufanya hayo. Wacha tu kumchinja kuku wewe ata kumbeba huwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzangu
 
Back
Top Bottom