Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584636881470.jpeg
 
Jeshi kwa mujibu wa sheria ni Tanganyika, lakini hasa lilidumu kwenye nchi ya Tanzania.
Umenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...

Baada ya mafunzo kuisha nilikutana na jamaa yangu aliyetoka jeshini sasa wakati wa maongezi alidondokewa na Mjusi, sasa kelele alizopiga na kule kujirusha rusha ilikua ni vichekesho...

Samahani kwa hadithi ndefu ila nia ni kukuambia Jeshi halikupi uhakika wa kufanya hayo. Wacha tu kumchinja kuku wewe ata kumbeba huwezi
 
Kumbe nawe mpendwa ni kutoka mitaa ya kishua
Maji yatapita puani mdomoni bila mpangalio kama hujui kuogelea, ndiyo maana mje niwafundishe[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Maji ya yakiingia mdomoni na puani bila mpangilio maalum yanauma.Kuogelea ishanitokea mara mbili yaliingia puani yanauma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwepo lakini nadhani walikuwa wametonywa kuwa wazembee. Nilitoka hapo nimelowa damu utafikiri mimi ndiyo nimechinjwa...halafu sasa kumbe nilipaswa kukinga damu zisimwagike wazee wanasubirisha waende wakachanganye na utumbo na viungo vingine vya ndani wakaange wale. Mi nikaacha damu yote ikamwagika. Wazee waliwaka balaa ikabidi kwenda kuwatafutia gongo ndiyo wakapotezea [emoji16][emoji16]

Sent using TECNO F1 Wereva
 
Kwamba???[emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Mimi sehemu zote nimekaa,huwezi nidanganya chochote

Kule ileje wamewapiga bao sehemu nyingi Zina umeme..mlichowazidi Ni Rami tu,ambayo sasa imewekwa

Tatizo unaijua ileje ya huku kasumulu..ileje ya tunduma huijui.

Mimi mwenzio kote nimekaa..tukuyu,kyela na ileje kote nakujua vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa we mtoto mie hakuna mikoa nimetembea kama Mbeya na Songwe, hata Dar sijatembea kama nilivyotembea huko.

Nimeenda Mbeya, Kyela, Tukuyu, Chunya, Songwe, Tunduma, Ileje, Mbozi kati ya zote hizo hakuna wilaya inayozifikia Mbeya, Kyela, Tukuyu na Tunduma kwa uzuri na maendeleo.
 
Back
Top Bottom