Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584637527129.jpeg
 
Sasa umesahau kuwa vijijini mtoto wa kiume anachukuliwa tofauti na mtoto wa kike kwenye kila kitu ??
Yaonyesha mna mira ngumu sana.
Vinginevyo huko kijijini kwenu huwa mnaenda mara chache.
Mi bibi yangu na ndugu zangu wengine wanaoishi kijijini wakiniona wanajua kabisa huyu jamaa anakula hiki na hiki hali.
Ni hivyo, labda kwakuwa kijiji chetu cha asili kipo karibu sana na hili jiji.
 
Mkuu, angalau hata kuku au bata unaweza ukamuona anavyozaliwa na ukizingatia anavyokula yeye havikuhusu wewe si unamsafisha uchafu wote unautoa.

Ila kambare ukiachilia mbali anachokula, yeye mwenyewe tu mwili wake ni uchafu na hujizalisha kutokana na uchafu na hiyo ndiyo tofauti.
Ukitaka kuangalia kwa makini kila aina ya chakula kina asili ya uchafu.
Hujawahi kula kuku au bata? Umeshaona aina ya vyakula wanavyokula?
 
Kabisa aise, mie mwenyewe na ujeda wangu huu hadi leo naogopa wadudu. Yaani nikiona mjusi au chura chumbani niko radhi nikakeshe sebuleni, sihangaiki hata kumuua wala kumfukuza.

Cha kushangaza ni kwamba hata push up au mchaka mchaka bado vinanishinda, na hata mie najiuliza sijui jeshi limenisaidia nini sasa.
😂😂😂😂😂 Jeshi limekusaidia cheti tu
 
Back
Top Bottom