Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Khaa we mtoto mie hakuna mikoa nimetembea kama Mbeya na Songwe, hata Dar sijatembea kama nilivyotembea huko.

Nimeenda Mbeya, Kyela, Tukuyu, Chunya, Songwe, Tunduma, Ileje, Mbozi kati ya zote hizo hakuna wilaya inayozifikia Mbeya, Kyela, Tukuyu na Tunduma kwa uzuri na maendeleo.
Tunduma iko wapi?
Ipo songwe

Chunya yenye madini iko wapi?
Songwe

Kyela mnaizidi ileje lami tu na ziwa nyasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1584637779348.jpeg
 
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishangaa sana, yani kutoka kuwa Simba wa nyika mpaka kuwa Simba Luwala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unashabikia badala uniunge mkono?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23], wanaona utamu kutania makabila mengine lakini hawataki makabila yao yajulikane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe tu ulikuwa hulijui.
Sehemu nyingi tu nimelitaja..tatizo unashinda kwenye Uzi mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom