Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawa maji yamemeza wengi, na lazima iwe hivyo maana 60 au 70% ya Dunia ni maji.
Na hivyo kwakuwa Dunia imegubikwa na maji kuliko lilivyo eneo la nchi kavu yawapasa wakazi wa Dunia wajue kuogelea.
Jifunze kuogelea
Yakimeza si Kuna wale Watu wataathirika wengine kufa kabisa
Basi Mimi nitakuwa mmojawao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa
Hao kawaida Yao...
Wanapepeta Sana Domo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi huwa hatuna shida.. characters nyingi tunaendana nao Hadi lugha kwa kiasi kikubwa zinaendana ila wametuzidi kwenye ujuaji na kujimwambafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom