Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kwenda huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Chunya ya Mbeya na ya Songwe dogo, kote huko nimeenda ile Chunya Mkwajuni ya Songwe haijaifikia Chunya Makongolosi ya Mbeya kwa maendeleo hebu shika adabu yako na adabu yako ikushike.
Wilaya ya chunya,momba na ileje zote Ni songwe
Huko tukuyu na kyela unakokusema umeishia mjini tu na ulikuwa unafanya tathmini ya mjini tu..
Kote huko hujaishi.hata kufanya tathmini inakuwa ngumu
Ungeniambia wilaya ya mbarali Ina maendeleo zaidi ningekubali
Sent using Jamii Forums mobile app