Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1584637158546.jpeg
 
Khaa sasa wewe ambaye haupendi kuzurura utajilinganisha na mimi ambaye napenda kuzurura, haya mambo unayajulia wapi wakati unapenda kujifungia ndani kama unaatamia.

Chunya iko ya Mbeya na Songwe acha ubishi, Chunya Mjini au Makongolosi iko Mbeya na Chunya Mkwajuni iko Songwe, hata tukisema tufananishe vijiji bado vijiji vya Mbeya ndiyo vizuri kuliko vya Songwe, Mbarali sijatembea sana nilipita tu kule Ubaruku kwenye mashamba ya mpunga.

Mkoa wa Songwe bado sana dogo, ile stendi yenu ya mabasi pale Vwawa tu inatia huruma mnataka kuifananisha na stendi kuu ya Mbeya mjini na hapo bado haujaiongelea stendi ya nane nane.

Usiniambie eti mnajivunia airport wakati ile airport ni ya Mbeya na ilipewa jina la Songwe sababu ilikuwa ni wilaya iko Mbeya, na hata hivyo raia wengi wanaotumia ile airport huwa ni wakazi wa Mbeya na baadhi Tunduma maana raia wa Songwe hawapandi sana ndege
Kwenda huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wilaya ya chunya,momba na ileje zote Ni songwe

Huko tukuyu na kyela unakokusema umeishia mjini tu na ulikuwa unafanya tathmini ya mjini tu..
Kote huko hujaishi.hata kufanya tathmini inakuwa ngumu

Ungeniambia wilaya ya mbarali Ina maendeleo zaidi ningekubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom