😀😀 hawa watoto wakisha anzwa kuitwa honey wanajiona wamekua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu unanifananisha na huyo kifaranga, mie anafaa aniite hata mama mdogo huyo ila ni vile tu hana adabu ananiona mtoto mwenzie.
😀😀 hawa watoto wakisha anzwa kuitwa honey wanajiona wamekua[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu unanifananisha na huyo kifaranga, mie anafaa aniite hata mama mdogo huyo ila ni vile tu hana adabu ananiona mtoto mwenzie.
Yakimeza si Kuna wale Watu wataathirika wengine kufa kabisa
Basi Mimi nitakuwa mmojawao
Mpaka tukasema pengine watu walishaimba [emoji443]Parapanda italia parapanda....[emoji443]
Ila stendi ya Vwawa ni mbovu sijapata kuona alafu ndio stendi ya mkoa ....... Sema Songwe inabebwa na Tunduma
Ngoja nimtafutie la kinyakyusa,kindali ,kinyiha au kisafwa linaloanzia na D[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nafikiria nikikutana na situation kama hii sijui hata nitafanyajeRedi hendedi....
View attachment 1394301
Ni kwa sababu ilijengwa Kama stand dogo ya magari enzi hizo mwaka 2007 vwawa bado ilikuwa mbeyaIla stendi ya Vwawa ni mbovu sijapata kuona alafu ndio stendi ya mkoa ....... Sema Songwe inabebwa na Tunduma
Kwamba Hilo limefanyaje?
Basi Mimi naonaga hakuna jina zuri kwa waislam Kama hilo
Nyie mnajifanyaga ndiyo wakikuyu wa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukuruta Mimi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] hawa watoto wakisha anzwa kuitwa honey wanajiona wamekua