Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ohooo
Hongera..ila Mimi siwezi kwenda kujifunza sasa kuogelea
Umri umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuku na kitimoto hata niwashuhudie wanakula takataka gani siwezi kuacha kula, hao wanyama acha kabisa. Lakini bora wao wanazaliwa, kambare wanajizalisha.
Umeona uingizie na kitimoto Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kuku na kitimoto hata niwashuhudie wanakula takataka gani siwezi kuacha kula, hao wanyama acha kabisa. Lakini bora wao wanazaliwa, kambare wanajizalisha.
Khaa sasa wewe ambaye haupendi kuzurura utajilinganisha na mimi ambaye napenda kuzurura, haya mambo unayajulia wapi wakati unapenda kujifungia ndani kama unaatamia.
Chunya iko ya Mbeya na Songwe acha ubishi, Chunya Mjini au Makongolosi iko Mbeya na Chunya Mkwajuni iko Songwe, hata tukisema tufananishe vijiji bado vijiji vya Mbeya ndiyo vizuri kuliko vya Songwe, Mbarali sijatembea sana nilipita tu kule Ubaruku kwenye mashamba ya mpunga.
Mkoa wa Songwe bado sana dogo, ile stendi yenu ya mabasi pale Vwawa tu inatia huruma mnataka kuifananisha na stendi kuu ya Mbeya mjini na hapo bado haujaiongelea stendi ya nane nane.
Usiniambie eti mnajivunia airport wakati ile airport ni ya Mbeya na ilipewa jina la Songwe sababu ilikuwa ni wilaya iko Mbeya, na hata hivyo raia wengi wanaotumia ile airport huwa ni wakazi wa Mbeya na baadhi Tunduma maana raia wa Songwe hawapandi sana ndege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpachike tu
Mwingine alimshauri amuite JfNataka nikupachike majina Kama Dunia,dodo,dondosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kwenye Uzi flani hivi,mtu kaomba ushauri wa jina la kike linaloanzia na j
Watu comments zao sasa, mwingine mwite jini,mwingine juha,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila stendi ya Vwawa ni mbovu sijapata kuona alafu ndio stendi ya mkoa ....... Sema Songwe inabebwa na Tunduma
Umetembea mjiniKhaa sasa wewe ambaye haupendi kuzurura utajilinganisha na mimi ambaye napenda kuzurura, haya mambo unayajulia wapi wakati unapenda kujifungia ndani kama unaatamia.
Chunya iko ya Mbeya na Songwe acha ubishi, Chunya Mjini au Makongolosi iko Mbeya na Chunya Mkwajuni iko Songwe, hata tukisema tufananishe vijiji bado vijiji vya Mbeya ndiyo vizuri kuliko vya Songwe, Mbarali sijatembea sana nilipita tu kule Ubaruku kwenye mashamba ya mpunga.
Mkoa wa Songwe bado sana dogo, ile stendi yenu ya mabasi pale Vwawa tu inatia huruma mnataka kuifananisha na stendi kuu ya Mbeya mjini na hapo bado haujaiongelea stendi ya nane nane.
Usiniambie eti mnajivunia airport wakati ile airport ni ya Mbeya na ilipewa jina la Songwe sababu ilikuwa ni wilaya iko Mbeya, na hata hivyo raia wengi wanaotumia ile airport huwa ni wakazi wa Mbeya na baadhi Tunduma maana raia wa Songwe hawapandi sana ndege
Safi si unaona wameongeza siku.... ingekuwa safi zaidi kama hili janga lingetokea wakat wa sup
Kaone,Hebu niwache huko, bora hata ungeniita dada naniliu.
Jamani hivi Cole Williams kapotelea wapi eti ??
Halafu vwawa pia pamepooza sana yaani hapaendani na kuwa makao makuu ya mkoaIla ni lazima mjue kuwa mkoa wa Songwe bado mpya, ndiyo kwanza hata miaka 5 haujafikisha
Na kwa bahati mbaya umekutana na kipindi hiki ambacho nchi inajenga SGR na Stieglers hydropower Dam.
Vinginevyo Serikali ingepeleka huduma zote kama zile zinazoonekana Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu boss Atakuwa Anajua hiki kituIla ni lazima mjue kuwa mkoa wa Songwe bado mpya, ndiyo kwanza hata miaka 5 haujafikisha
Na kwa bahati mbaya umekutana na kipindi hiki ambacho nchi inajenga SGR na Stieglers hydropower Dam.
Vinginevyo Serikali ingepeleka huduma zote kama zile zinazoonekana Mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 nimeonaDavet kubali tu
Unaona Hadi ustaadh anaunga hoja mkono[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine eti amuite jinamizi,jeuriMwingine alimshauri amuite Jf
Alishasahau Kama mbeya mjini pamechukua muda kujengwa na kuwa jinsi palivyo.