Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KD was here
Taji lako hilo hapo bro[emoji1787]
FB_IMG_1584290157748.jpeg
 
Alaa kumbe unajua kuwa Songwe bado ni mkoa mpya na Mbeya ni wa zamani sasa unaanzaje kuifananisha mapema hivyo ??

Tusubiri kwanza Songwe ukuwe kama Mbeya wajenge hiyo miundombinu unayosema tuone halafu ndiyo tuanze kuifananisha !!
Umetembea mjini
Mimi nimetembea vijijini .
.nikikuuliza hapa tukuyu,kyela na mbarali umetembea vijiji vingapi jibu litakuwa kasumulu na matema tu.

Nimiuliza songwe,ileje na momba umetembea vijiji vingapi jibu Ni tunduma na vwava
Airport Haijalishi watu Gani wanaitumia lakini ipo songwe.

Vwawa na mbeya mjini hapalingani kwa sababu mbeya mjini palibeba makao ya mkoa Tangu muda,vwawa ilikuwa kijimji tu ambacho kimepewa hadhi kubeba mkoa

Kuhusu stand na miundombinu mingine,itaboreshwa Ni swala la muda.

Hii mbeya unayoiona ulivyokuja mwaka juzi hapa na stand unayotamba nayo imejengwa juzi tu hapa.
Tulikua na stand ya mabatini kule..ambayo Ni mbovu kuliko hatA ya mbozi.
Vwawa Ni swala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu tusubiri Songwe itachukua muda gani kujengwa kuwa kama Mbeya, mbona maneno mengi shangazi.
Alishasahau Kama mbeya mjini pamechukua muda kujengwa na kuwa jinsi palivyo.
Tatizo Hawa andaeitini wamekuja mbeya wamekuta tayari Kuna stendi ya nanenane[emoji1787][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom