Sawa mamtumishi
Sawa mamtumishi
Kwamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe tu ulikuwa hulijui.
Sehemu nyingi tu nimelitaja..tatizo unashinda kwenye Uzi mmoja tu.
Mkokaa
Naona wengi mmekariri tu uyole.
Uyole sehemu gani?uyole Ni kubwa
Mkokaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mdogo kama stela?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe naona unanitafuta maneno tu, wakati hapo ulipo ndiyo kwanza kuruta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nataka alikubali hili la Abdulrahman
Bila hivyo ,Mimi nitamwita jina la ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba?
Nyie mnaruhusiwa kwani?
Ila ningekuwa kwenye hiyo imani yenu ningepata Raha Sana.
Mimi akheri nisile kuku Kama hayupo wa kuchinja
Nilishawahi kumuacha kuku anatapatapa na kichwa nilikata kidogo,Mimi Huyo nikatimua mbio
Napita kuwasabahi nimewakumbuka sana
Ila stendi ya Vwawa ni mbovu sijapata kuona alafu ndio stendi ya mkoa ....... Sema Songwe inabebwa na TundumaKhaa sasa wewe ambaye haupendi kuzurura utajilinganisha na mimi ambaye napenda kuzurura, haya mambo unayajulia wapi wakati unapenda kujifungia ndani kama unaatamia.
Chunya iko ya Mbeya na Songwe acha ubishi, Chunya Mjini au Makongolosi iko Mbeya na Chunya Mkwajuni iko Songwe, hata tukisema tufananishe vijiji bado vijiji vya Mbeya ndiyo vizuri kuliko vya Songwe, Mbarali sijatembea sana nilipita tu kule Ubaruku kwenye mashamba ya mpunga.
Mkoa wa Songwe bado sana dogo, ile stendi yenu ya mabasi pale Vwawa tu inatia huruma mnataka kuifananisha na stendi kuu ya Mbeya mjini na hapo bado haujaiongelea stendi ya nane nane.
Usiniambie eti mnajivunia airport wakati ile airport ni ya Mbeya na ilipewa jina la Songwe sababu ilikuwa ni wilaya iko Mbeya, na hata hivyo raia wengi wanaotumia ile airport huwa ni wakazi wa Mbeya na baadhi Tunduma maana raia wa Songwe hawapandi sana ndege
Ni hao tu wachache, wengine wote ni majipu kama kina Saint Anne.
Ngoja nimtafutie la kinyakyusa,kindali ,kinyiha au kisafwa linaloanzia na D[emoji1787]Mpe la kinyakyusa Bhikukalala
Wa wapi ??
Dogo Tema mate chini[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni mdogo kama stela?
Najua mojawapo hapo ni lako.
Naendelea kuomba Mungu iwe abdulrahman [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli, mi napenda sana mijadala ya kisiasa, na kwakweli nimeipenda jf kwa sababu za kisiasa.
Lakini hivi sasa siasa zimejaa upuuzi mwingi, nimeichukia sana siasa maana siasa imekuwa ya kibwege sana.
Kwahiyo nimeona heri nibaki hapa tu.
Majukwaa kama MMU sipendezwi na aina ya mijadala yake.
Labda majukwaa ya michezo, intelligence, historia, angalau hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto Raheli (miaka4) ambaye ana Cancer ya Jicho yupo katika maumivu makali yasiyohimilika.Mzazi wa Rahel anasema,"Tuliwahi kwenda kufanya matibabu Muhimbili lakini dawa zilipoisha hatukurudi tena Hospitali kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu
View attachment 1394257View attachment 1394258
Wewe ni mdogo kama stela?
Andaeitini
Unatusingizia bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe naona unanitafuta maneno tu, wakati hapo ulipo ndiyo kwanza kuruta.