Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtoto Raheli (miaka4) ambaye ana Cancer ya Jicho yupo katika maumivu makali yasiyohimilika.Mzazi wa Rahel anasema,"Tuliwahi kwenda kufanya matibabu Muhimbili lakini dawa zilipoisha hatukurudi tena Hospitali kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu
1584730602912.png
1584730643904.png
 
Hahahahaha, Zoĕ unatisha[emoji23]
Kabisa aise, mie mwenyewe na ujeda wangu huu hadi leo naogopa wadudu. Yaani nikiona mjusi au chura chumbani niko radhi nikakeshe sebuleni, sihangaiki hata kumuua wala kumfukuza.

Cha kushangaza ni kwamba hata push up au mchaka mchaka bado vinanishinda, na hata mie najiuliza sijui jeshi limenisaidia nini sasa.
 
Back
Top Bottom