Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Fresh sana, umepotea sana bro vipi kwema?Mkuu niaje
Fresh sana, umepotea sana bro vipi kwema?Mkuu niaje
Nadhani unajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida yako ni kupinga tu uhenga wangu sio?
😂😂😂😂Huyu alienda tu kulala
Maana hatukuona tofauti yoyote kabla na baada ya jeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah
Wewe utakuwa wa chini yangu kidogo..hicho cheo Cha mabeyo Cha kwangu
Huyu akiwa jeshini Basi Mimi mashika nafasi ya mabeyo
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani acha tu na hata cheti chenyewe sijui kinanisaidia nini, ati na mie naitwa askari wa akiba uwiiii..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni hao tu wachache, wengine wote ni majipu kama kina Saint Anne.
Hahah! Mtu hawezi kujua dini yangu kupitia jina languKwamba Hilo limefanyaje?
Basi Mimi naonaga hakuna jina zuri kwa waislam Kama hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunduma iko wapi?
Ipo songwe
Chunya yenye madini iko wapi?
Songwe
Kyela mnaizidi ileje lami tu na ziwa nyasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiewezekani kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dogo acha mambo yako, mimi nimeshakiwahi hicho cheo wewe ndiyo utakuwa chini yangu.
Mkuu, angalau hata kuku au bata unaweza ukamuona anavyozaliwa na ukizingatia anavyokula yeye havikuhusu wewe si unamsafisha uchafu wote unautoa.
Ila kambare ukiachilia mbali anachokula, yeye mwenyewe tu mwili wake ni uchafu na hujizalisha kutokana na uchafu na hiyo ndiyo tofauti.
Ohoo Basi David.. Desmond,Donald,DeusHahah! Mtu hawezi kujua dini yangu kupitia jina langu
Huyu alienda tu kulala
Maana hatukuona tofauti yoyote kabla na baada ya jeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema kabisa mkuu majukumu yalibana sanaFresh sana, umepotea sana bro vipi kwema?
Hahah! Unataka kuniita MndaliOhoo Basi David.. Desmond,Donald,Deus
Ukikataa haya jua naenda kukupachika mijina ya kilugha[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, vipi chalii siamkekua sana sasa hivi?Kwema kabisa mkuu majukumu yalibana sana
Siyo kweli, uswahilini tunaishi wabishi, utaweza wapi maisha ya kula ugali kwa kambare [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ninyi tu hamjui mnachotaka mnategemea sisi ndiyo tutajua ?? Mbona hata mkipewa hivyo mnavyosema mnavitaka bado mnachepuka ??