Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wana wa ileje .hawana shida ingawa wanasemwa vibaya.
Nijuavyo mkoa wa Mbeya wanyakyusa wanajifanyaga wajuaji kuliko wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao kawaida Yao...
Wanapepeta Sana Domo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi huwa hatuna shida.. characters nyingi tunaendana nao Hadi lugha kwa kiasi kikubwa zinaendana ila wametuzidi kwenye ujuaji na kujimwambafai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom