Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kula likes acha mbwembwe![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] View attachment 537407 Hamtaniwi
JamaniNimerud rasmi nitakua hapa hadi usingizi utakapo nipitia au babe Cole akienda kulala[emoji5] [emoji5]
Ukipata tafuta na msebuleeUzi unipe mchumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] andjul njoo kuna ujumbe wako hapa
Hahhahahaa nani hao
We coco ni mhenga auWaungwana huchumia juani na kulia kivulini.
You are very smart. I like that [emoji818]Africa na resources zote bado masikini.
Are we really investing on Extracting these resources au tuna invest kwenye siasa?
Tuna nia kweli.
Tutaishia kuona flyovers na rockets kwenye movies.
Kama kweli Wa Africa tungetaka kuwa matajiri...system zingekuwa Imara na huu Uzi usingekuwa na hata page elfu tano.
Watu wako discouraged Hamna motivation...
Sema ndo hivyo Africa hakuna matata[emoji4]mwendo wakupost na kulike
Leo unachapia [emoji23] [emoji23]Uzi maalum si salama kwa afyq