Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nmekuona hapa kwenye lipicha la samaki anayetoa maji unapiga picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee kumbeInaaminika kuwa, Mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote yule. Alifariki mwaka 1727 akiwa na miaka 84.
Bila kusahau kagauni kangu ka kitenge ee[emoji23][emoji23][emoji23]Nmekuona hapa kwenye lipicha la samaki anayetoa maji unapiga picha[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] mama yangu huyu unaweza kufukuzwa na chai yako ukanywee njeMisiphonia' ni tatizo linalokuwa kwa mtu ambapo hushindwa kudhibiti hasira pale anaposikia sauti kama mtu kukoroma, kutafuna, kuvuta chai, supu au uji kwa sauti.
DaahAngelina Jolie alikodi mtu wa kumuua baada ya kuzidiwa na msongo wa mawazo. Muuaji huyo alikubali lakini akamwambia asubiri kwa mwezi ndo atamuua. Lengo la muuaji lilikuwa kumpa muda Angelina Jolie abadilishe mawazo, alifanikiwa. (IMDbNews)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama yangu huyu unaweza kufukuzwa na chai yako ukanywee nje
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuhWakati anahutubia kwenye mkutano wa TED2009, jijini LA, Bill Gates alifungua kopo lililojaa mbu na kuwaachia ukumbini huku akisema "Haiwezekani watu masikini pekee wateseke na hii shida".(CNBC & NBC)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ndio, umependeza hatariBila kusahau kagauni kangu ka kitenge ee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ndio, umependeza hatari
Ndio maanaKatika Series ya Game Of Thrones, Seasons za mwanzo walitumia wahusika halisi wa Filamu za ngono ili kuleta uhalisia zaidi.