Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Indian Bullfrog, chura mwenye korodani shavuni. Korodani zake huvimba na kuwa za bluu asipojamiiana kwa muda wa wiki moja.
(Researchgate, ZME Science)
(Researchgate, ZME Science)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Saikolojia: Wanawake huvutiwa zaidi na Wanaume Wakorofi (Wababe) sababu huamini wanaweza kuilinda Familia na yeye mwenyewe (Mwanamke).
[emoji23][emoji23][emoji23]
Inapatikana mkoa wa Njombe bhana wanyakyusa naona wameanza kuisogezaHifadhi ya Taifa Kitulo' inapatikana mpakani mwa Njombe na Mbeya. Moja ya Sifa zake za kipekee ni Bustani ya Mungu' ambapo kuna maua mengi tofauti huku jamii 30 ya maua hayo tofauti huipati sehemu nyingine yoyote Duniani