moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Bro KD niaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro
Safi sana bro vipi mitaa yako hapo amani ipo?Bro KD niaje
Nini kitatokea endapo mipaka itafungwa kwa muda?
Safi sana bro vipi mitaa yako hapo amani ipo?
Jambo jema hili bro, shughuli zinaendelea kama kawaida au bado watu wana hofu na mgeni?Amani inapatikana bro
Hehehee jina matata😂😂😂😂😂 ni nini?
Badili muda.Kwani wenzetu mnawezaje kufanya haya mambo tomorrow? 😀😀
View attachment 1394935
Nini kitatokea endapo mipaka itafungwa kwa muda?
Muda wangu upo sahihi kabisa numbyBadili muda.
Hahaha! 😁Hehehee jina matata
SiSio muda wa kawaida bali wa application unayotumiaMuda wangu upo sahihi kabisa numby
Ni hatari broBro niliwahi kusema huko nyuma kuwa corona ni kifo, ila mawazo ya walio wengi yaliekea kwenye maumivu anayopata mtu baada ya maambukizi.
Kifo hasa kinakuja kwenye nchi zetu masikini mnapojikuta mnafunga mipaka, mnafunga mall, mnafunga viwanja vya ndege, mnafunga night club, mnafunga kila kitu na kuwaweka wananchi kwenye vizuizi vya nyumbani.
Bro, Tanzania na watanzani ni masikini wa kutupwa, kufunga vyote hivyo ndiyo kifo chenyewe. Serikali itateseka na wananchi wataangamia.
Natumia web tu kama kawaidaSiSio muda wa kawaida bali wa application unayotumia
Sasa hivi zinakuja zipo fresh tu, tatizo nahisi watakuwa ni jf wenyeweSiSio muda wa kawaida bali wa application unayotumia
Duh! Hicho ki Everest kimemezwa mara zoteProject ya kuishi mars ingekuwa imekamilika
Ningesafiri kupisha Corona nikapumzike na kutalii kwanzaView attachment 1394951
Ikiwa ni pamoja na kutalii kuona mlima mrefu zaidi katika mfumo wa jua letu (Solar system)View attachment 1394952
Hakika ningepumzika.
Upo sawa kaka.Bro niliwahi kusema huko nyuma kuwa corona ni kifo, ila mawazo ya walio wengi yaliekea kwenye maumivu anayopata mtu baada ya maambukizi.
Kifo hasa kinakuja kwenye nchi zetu masikini mnapojikuta mnafunga mipaka, mnafunga mall, mnafunga viwanja vya ndege, mnafunga night club, mnafunga kila kitu na kuwaweka wananchi kwenye vizuizi vya nyumbani.
Bro, Tanzania na watanzani ni masikini wa kutupwa, kufunga vyote hivyo ndiyo kifo chenyewe. Serikali itateseka na wananchi wataangamia.
Thomas Partey bonge la kifaaAtletico Madrid wanaangalia uwezekano wa kuongeza mkataba wa kiungo wakati Mghana Thomas Partey, mwenye umri wa miaka 26, hadi mwaka 2025 na kufuta kipengele cha mkataba wake cha Euro milioni 100 million (£92m) huku timu za Arsenal na Manchester United zikimtaka. (Goal)