Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Officially zoe ni wakishuaaa
Hapa wa kishua ni yoyote hata kama ni msukuma tolori huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] oohh hivi kumbe hata wale wahaya matajiri ninaowaona wanakula kumbikumbi na senene nao siyo wa kishua eenh ??
Au labda mie ndiyo sijui maana ya neno "wa kishua"
Ina maudhui ya kingono ngono?Katika Series ya Game Of Thrones, Seasons za mwanzo walitumia wahusika halisi wa Filamu za ngono ili kuleta uhalisia zaidi.
Aione bro wangu wa Bariadi hii post[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa wa kishua ni yoyote hata kama ni msukuma tolori huko[emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeeAngelina Jolie alikodi mtu wa kumuua baada ya kuzidiwa na msongo wa mawazo. Muuaji huyo alikubali lakini akamwambia asubiri kwa mwezi ndo atamuua. Lengo la muuaji lilikuwa kumpa muda Angelina Jolie abadilishe mawazo, alifanikiwa. (IMDbNews)
Hakuna anaejua kuhusu Kifo'
πππ kututia uchizi tuUkiwa unatamka hizi irabu kwa sauti "a, e, i, o, u" mdomo wako unakuwa mpana zaidi unapoanza kisha unapungua upana unapoenda mbele. Jaribu kuzisoma kwa sauti uone!
TayariIndian Bullfrog, chura mwenye korodani shavuni. Korodani zake huvimba na kuwa za bluu asipojamiiana kwa muda wa wiki moja.
(Researchgate, ZME Science)
Sijawah kuiona
Ta ta tayaaaarrri ushajaribu cheiiiiπππ kututia uchizi tu
[emoji23][emoji23]Aione bro wangu wa Bariadi hii post[emoji23][emoji23][emoji23]
Koh-I-Noor; ndiyo almasi yenye thamani kubwa zaidi duniani. Ina uzito wa karati 105 (21.6 gm). Ipo kwenye taji la malkia wa Uingereza. Hata hivyo siyo almasi kubwa zaidi kuliko zote.Bei yake: Haina bei (priceless)(Most Expensive Diamonds)
Haina maudhui ya Kingono Khantwe, ni zile series za historical,iko na drama na action pia, sema ina scene za ngono japo sio nyingi sana, haifai kuangalia na familia hii
Hapa wa kishua ni yoyote hata kama ni msukuma tolori huko[emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ mara kibao tu tena nipo na watu hapa nimewapa haya madini basi eneo limegeuka kama darasa la kwanzaTa ta tayaaaarrri ushajaribu cheiiii
Beki tatu wapiOohh basi hata kumbe hausi gelo mie ni wa kishua ?? Nilidhani mabeki tatu huwa tunadharaulika !!