Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pua yako ndiyo ina Ratibu (Shape) aina ya Sauti unayotoa.
Chanzo: Heathline, Mentalfloss
Chanzo: Heathline, Mentalfloss
Madawa ya kulevya, Hususani 'Unga'...Huleta madhara makubwa katika Ubongo..Madawa huaribu Neurotransmitters....hizi ni kemikali zinazotolewa na ubongo ambazo husaidia katika kuhakikisha safari ya neva za seli kutoka moja kwenda nyingine inafanyika ipasavyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]IseeeeKuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
Bradha na carbamazepine watusaidie jibu hapaNdiyo maana nilisikia ukiwa mtumiaji sana wa madawa ya kulevya hata ukichomwa sindano za ganzi ganzi haikamati mwilini, hivyo hata ukihitaji kung'olewa jino (gego) au kutumbuliwa jipu chungu itakubidi ufanyiwe bila ganzi na uvumilie maumivu yote utakayoyapata sasa sijui kweli.
Aisee [emoji16][emoji16][emoji16]