Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmhh
Hapana mpendwa nimetamka moyoni [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana mpendwa nimetamka moyoni [emoji16][emoji16][emoji16]
Tikker Watch' ni saa ambayo inakadiria muda wako wa kuishi uliobaki. Unaingiza taarifa zako za matibabu ulizowahi kupata pamoja na mtindo wa maisha yako. Itakuhesabia miaka, miezi hadi sekunde na zitakuwa zinapungua vivyo hivyo.
Zile scene za ngono za mwanzo mwanzo za kwenye Game of throne zilikuwa sio za mchezo mchezo bro..Ndio maana nini bro?
DahSasa kama watu wanahonga hadi magari kwaajili ya kupata kale karaha tu, yani kale karaha ka Sekunde 5 unategemea nini kwa mtu ambae anapata raha hiyo Tripple zaidi... ndio maana unakuta mtu Hadi udenda unatoka.....
Kuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
😂😂😂😂 nakupata vyema kwenye moja na mbiliZile scene za ngono za mwanzo mwanzo za kwenye Game of throne zilikuwa sio za mchezo mchezo bro..
Kazi kazi.. Umenielewa[emoji2]
Haka ka makala Unakapenda Numby [emoji23][emoji23]Kuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
Duuh! Kweli elimu haina mwisho wazeeUkitazama kwa umakini utagundua pia korodani zilibadilika na kuwa labia majora na labia minora pia penis ikawa fused na kuwa clitoris,hapo ni baada ya hormone Testicular differentiating gene kutozalishwa kwa wingi anapotengenezwa mtoto wa kike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakupata vyema kwenye moja na mbili
Hehehehee kipo,nimejibu swali la wanaouliza kuhusu huo mshonoHaka ka makala Unakapenda Numby [emoji23][emoji23]
Hicho kitu hakipo
Umeona nini?Nimegoogle hiyo labia majora na minora. Mmh!
😀😀😀😀😀Wastani mwanamke huweka vitu zaidi ya 26 katika mkoba wake ambavyo havitumii au hana mahitaji navyo katika safari zake, vinakuwepo tu.
Ata haileti majibu yeyote sijui simu yangu mbovu, embu kajaribu tuone kwako kama itakubali 😀😀Umeona nini?
Bangi ni zaid ya dawaBangi imekuwa ikitumiwa na binadamu kwa muda mrefu sana tangu mwaka 500 K.K huko Asia ila ilitumika kama tiba asili. Ilianza kutumika Amerika wakati wa ukoloni na ilipigwa marufuku karne ya 20 kwa sababu za kisiasa na kibaguzi.
Acha zako wwKuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
💯%
[emoji818][emoji818]