Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
πππ huwezi kuacha kufanya majaribio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nawe umeliona hilo ? Kama nawaona watu wanavyojaribu !
Hapana mpendwa nimetamka moyoni πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwingine huyu tumeshamkamata
πππππππ jamaniKuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
Bradha na carbamazepine watusaidie jibu hapa
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iseeee
Scolds Bridle" ni kifaa cha kutolea adhabu kilikuwa kikitumika katika karne ya 16 kwa Wanawake ambao walizidi kwa "Umbea". Walikuwa wanakuvalisha Usoni, Katika mdomo kulikuwa na Chuma ambacho kinabana Ulimi wako ili kukufanya ushindwe Kuongea. Na kama Ukijaribu Lazima Uumie.
[emoji23][emoji23][emoji23] huwezi kuacha kufanya majaribio