Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukitazama kwa umakini utagundua pia korodani zilibadilika na kuwa labia majora na labia minora pia penis ikawa fused na kuwa clitoris,hapo ni baada ya hormone Testicular differentiating gene kutozalishwa kwa wingi anapotengenezwa mtoto wa kike.
Kuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh! Kweli elimu haina mwisho wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…