Npo poa sijui wewe
Vizuri
Tunaendelea vizuri.... vp huko mbeya
Sawa jioni njema
Mbona unajibu jibu lisilo la swali langu?
Mimi mzima wa afya..
Nilikuwa kutalii kwenye ufuta hukoView attachment 1395319
Sehemu ipi?
Hujakuja ndiyo maana hatuonani
Mimi napenda MMU
Siasa napenda kusoma tu na kugonga likes..ila hakuna sehemu inanivunja mbavu Kama jukwaa la siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikauliza kwaniniHiyo post ilianzia mahali uliuliza kama niliwahi kuonja kitimoto.
Sijala wa Sijaonja,
Siku hizi Kuna mada za hovyoKwakweli mahali ambapo nikiingia huwa nacheka sana ni MMU[emoji1787][emoji1787]
Memba wa MMU akili zao wanazijua wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo..Ooh safi sana, kumbe mpaka ufuta unakubali? Mko vizuri