Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Matani yote huku mtandaoni unakuta sijui atupandile mwakadirisha wa uyole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu sijui kwanini watu wengi wakisikia Mbeya sehemu ya kwanza wanayowaza ni Uyole, anyway yawezekana ni vile ndiyo sehemu ya kwanza inayokukaribisha Mbeya mjini.
Sijui atuselfie wa uyole
Yaani kila kitu uyole.
Hata ninapoandika hii msg nipo uyole
Sent using Jamii Forums mobile app