moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
HapanaUtapata vyote
AndugulileHahah! Unataka kuniita Mndali
Juma nature
Inspector Haroon
Enzi zetu wahenga
Majogoo yanakufaga kwa utitiri hasa yakiwa yamezeeka sana au kama yana magonjwa mengine nyemelezi...[emoji16][emoji16]
Take it seriously bro...
Hatujui tutapata strain ipi...
Marekani kule kuna idadi kubwa ya vijana between 19 - 54 wanaishia ICU kwenye ventilators hata hawajui ni kwa nini. Wameanza kusema pengine wamepata strain ambayo ni aggressive zaidi....
Na haya siyo mafua. Kimsingi hii ni pneumonia...mapafu yote yanajaa maji na unakufa sawa na mtu aliyezama majini...
Tufuate masharti ya wataalamu na kuchukua tahadhari zote....
Tmk wanaume family ndio ninaowakubali.
Achana na Huyo mtoto.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwenyewe Zoĕ amekataa anadai eti wewe ni mdogo sana kwake[emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wanaangalia sehemu iliyo katikati ya wilaya zote 3.Kisa?
Tunduma ndiyo jiji tarajiwa kwa ukanda wa nyanda za juu kusini baada ya Mbeya.
Tunduma ndiyo border kubwa kuliko yote Tanzania.
Tunduma ndiyo habari ya mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app