Tafiti za leo konkiDaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafiti za leo konkiDaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema..hofu kwenu.Asante Anne dua yako ilifanya kazi, vipi lakini kwema?
I seeKuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
Zote kwa hisani ya FAHAMU ZAIDI from telegram. Google utazionaTafiti za leo konki
Duh![emoji87][emoji87]Kuna kipindi maisha yalikuwa magumu mpaka nikawaza labda walipachana hapo wakaweka madini humo ndani
Ohh kumbe reference iko hapaZote kwa hisani ya FAHAMU ZAIDI from telegram. Google utaziona
Ndio mkuu
Kumbe huumizi ndonga kuzitafsiri... ila vizuri mkuu kuziweka hapaZote kwa hisani ya FAHAMU ZAIDI from telegram. Google utaziona
Unakausha tu. Hakuna kipya wala cha ajabu hapo [emoji16][emoji16][emoji16]Huwa nafikiria nikikutana na situation kama hii sijui hata nitafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hatari bro
Majogoo yanakufaga kwa utitiri hasa yakiwa yamezeeka sana au kama yana magonjwa mengine nyemelezi...[emoji16][emoji16]Hatari, lakini baadhi ya watu wanadai jogoo hafi kwa utitiri.
Kwamba waafrika wapelekee magonjwa kama TB, Ukimwi, Ebola na mengine kama hayo.
Wanadai eti mwafrika kufa kwa homa ya mafua ni kashfa mbaya[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafua yasitutisheMajogoo yanakufaga kwa utitiri hasa yakiwa yamezeeka sana au kama yana magonjwa mengine nyemelezi...[emoji16][emoji16]