Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji41]
20200321_163035.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mstari unaotenganisha Korodani Kwa mwanaume. Mstari huo ni 'Kovu' ya alama inayoonesha kuwa hapo ndipo 'Uke' ulitakiwa uwepo kama ungekuwa Mwanamke hiyo ni kabla Homoni za kiume hazijavuruga kitendo hicho.
Kuna kipindi maisha yalikuwa magumu mpaka nikawaza labda walipachana hapo wakaweka madini humo ndani
 
Back
Top Bottom