Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Take it seriously bro...
Mwanzo si mlisema Ni mafua tuTake it seriously bro...
Hatujui tutapata strain ipi...
Marekani kule kuna idadi kubwa ya vijana between 19 - 54 wanaishia ICU kwenye ventilators hata hawajui ni kwa nini. Wameanza kusema pengine wamepata strain ambayo ni aggressive zaidi....
Na haya siyo mafua. Kimsingi hii ni pneumonia...mapafu yote yanajaa maji na unakufa sawa na mtu aliyezama majini...
Tufuate masharti ya wataalamu na kuchukua tahadhari zote....
Thanks mkuu. Sasa hivi tuko isolated sana hata kazi tunafanyia home. Nikitoka nje ni kufuata msosi then ndani. Life limekuwa la kujitenga sana.Take it seriously bro...
Hatujui tutapata strain ipi...
Marekani kule kuna idadi kubwa ya vijana between 19 - 54 wanaishia ICU kwenye ventilators hata hawajui ni kwa nini. Wameanza kusema pengine wamepata strain ambayo ni aggressive zaidi....
Na haya siyo mafua. Kimsingi hii ni pneumonia...mapafu yote yanajaa maji na unakufa sawa na mtu aliyezama majini...
Tufuate masharti ya wataalamu na kuchukua tahadhari zote....
Amezaliwa dar huyu dog.Officially zoe ni wakishuaaa
Mimi huwa ananichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi Khantwe una nini lakini
HakikaSahau yaliyopita
Kuna usemi usemao “Yaliyopita si ndwele tugange yajayo”. Ni vyema ukajifunza kutoruhusu zamani yako kukushikilia kusonga mbele kuelekea kwenye kesho yako yenye mafanikio. Kumbuka kuwa huwezi kubadili jana wa juzi lakini unaweza kubadili kesho na kesho kutwa. Fanya yale yanayowezekana kubadili kesho yako na kamwe usiruhusu kurudishwa nyuma na kale yako.
AmenMatumizi mazuri ya pesa
Kama nilivyoeleza hapo mwanzo kuwa kuweka akiba siyo kuwa na pesa nyingi bali ni maamuzi na mipango stahiki pekee.Hivyo kuweka akiba kutakufaidisha kwa kukuwezesha kutumia pesa vyema. Ikiwa unapata elfu kumi kwa siku, itakubidi uitumie vizuri ili uweze kutenga fedha ya akiba.Kama huweki akiba huna haja ya kutumia pesa vyema kwani hakuna sehemu ya akiba inayotakiwa kutengwa.