Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂😂
😂😂
Alhamdulillah!
Diblo Dibala....jamaa anapiga solo gitaa mpaka linazungumza aisee. Wengi wanadhani ni mkali kuliko Daliiii Kimoko sema tu yeye ana nyodo hasa baada ya kuanzisha kundi lake la Machacha aligoma kushirikiana na wanamuziki wengine...Mabele alikuwa mmoja ya waanzilishi na lijendi aliyewahi kuanzisha kundi la Loketo akiwa na wanamuziki wenzake nguli kama Mav Cacharel na Diblo Dibala miaka ya 1980 japo baadae kundi lao lilivunjika.
[emoji23][emoji23][emoji23] ankoo usinichonganishe na mdogo wanguNa usimwamini, utashangaa kesho anarusha picha za Mikumi [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]