Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kushirikiana na wapiga magitaa maarufu na wenye vipaji, alitengeneza dansi ya Kiafrika yenye ladha yake ya kipekee ya soukous kwa kutunga nyimbo kama vile Mousso Africa, Ivorian woman, Embargo, Betty De Asta, Evelyne, Loketo na kadhalika.
 
Mabele alikuwa mmoja ya waanzilishi na lijendi aliyewahi kuanzisha kundi la Loketo akiwa na wanamuziki wenzake nguli kama Mav Cacharel na Diblo Dibala miaka ya 1980 japo baadae kundi lao lilivunjika.
Diblo Dibala....jamaa anapiga solo gitaa mpaka linazungumza aisee. Wengi wanadhani ni mkali kuliko Daliiii Kimoko sema tu yeye ana nyodo hasa baada ya kuanzisha kundi lake la Machacha aligoma kushirikiana na wanamuziki wengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…