Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati Leicester, katika msimu huo iliingiza Pauni 14.69 milioni, asilimia 8.2 ya mapato ya klabu, huku Man United, ikiingiza Pauni 112.33 milioni katika msimu wa 2018-19 ambayo ilikuwa ni sawa na asilimia 18.75 ya mapato ya jumla ya klabu.