carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Love at first sight
Enzi hizo mziki ulikuwa mziki hasaBest Collaboration of all time
Nahisi atakuwa US
Girlfriend
Vijana wa maandishi matatu TMK huko 😀Sonia
Mimi nakupenda
Njoo tulia
Acha tu leo najikumbusha utotoniNaona leo unasikiza oldschool tu
Walikuwa serious sana na kazi zaoEnzi hizo mziki ulikuwa mziki hasa
Wazee wa east coastHizi ndio sheria zetu sisi na Upanga yetu [emoji3]
Siku hizi ni mwendo wa uno tu,hovyo kabisaWalikuwa serious sana na kazi zao
Acha tu leo najikumbusha utotoni
Hahah! Hawa mabrother walikua wanaishi next level sana 😀Wazee wa east coast
Hahah! Bila kik mambo hayaendi kabisaSiku hizi ni mwendo wa uno tu,hovyo kabisa
Hahah! Wacha kunipiga kamba mchana kweupe hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Utotoni.
Wengine hizo ndo zilikuwa enzi zetu za ujana[emoji16][emoji16]