Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu ndiyo wewe shemeji kipenzi?Alamsiki[emoji847][emoji847][emoji8][emoji8]View attachment 1395527
Ndiyo..
Na mpungaView attachment 1395338
Hivi na uzi wa kula tunda kimasikhara upo MMU ama kwingine? [emoji16][emoji16][emoji16]
Alamsiki[emoji847][emoji847][emoji8][emoji8]View attachment 1395527
Akikupa jibu unitag jirani. Niko tayari kwenda Maneromango kupeleka mkaja kwa Bibi! π
Huwa nakereketwa sana kuposti huko sema tu huwa naogopa akina Esta watanionaje Msukuma miye mpenda misambwanda nisiyekuwa na akili yenye akili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Safiii
SawasawaMabele akiwa na Mav Cacharel na Diblo Dibala walitengeneza muziki maarufu wa soukous ambapo baadaye akatajwa kama mfalme, na kupelekea msemo wa kuwa "Aurlus Mabele ndiye mfalme wa soukous".
ππShingo mg'ato, shingo mtomaso, shingo mlambo, n.k... Sema tu Ankoo
Sent using Jamii Forums mobile app