Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata kama inafinya na ku massage??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Shemeji kipenzi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kama inafinyiamo ndani kwa ndani na ku massage mumo kwa mumo halafu moto moto rojo rojo fulu mchuruziko mbona tiketi itakatwa hata kama ni kwa bei ya kulangua?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali sana, nikiwa na umri huo ndio nilianza kuishi na sister kila akiniudhi nachukua vinguo vyangu natia kwenye mfuko naanza safari, kama nakujua ninakoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Shemeji kipenzi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kama inafinyiamo ndani kwa ndani na ku massage mumo kwa mumo halafu moto moto rojo rojo fulu mchuruziko mbona tiketi itakatwa hata kama ni kwa bei ya kulangua?
Mambo ya Inzi kufia juu ya kidonda poti. 😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto wa mwisho mnashida sana
Basi mi bana nikalikoroga huyoo kitindamimba nikasepa home. Siksi manths hakuna aliyekuja kunitafuta. Hii huwa inaniuma mpaka leo japo kwa upande mwingine imenifanya kuwa jasiri sana kiasi kwamba sijali sana mahusiano na mtu akizingua nasepa tu kiaina kwa sababu najua kuwa kama nikiwa darasa la 4 niliweza kusavaivu miezi sita mizima nikiwa peke yangu mbona kwa sasa nishindwe? Na watu huwa hawanielewagwi. Not good !!!
 
Back
Top Bottom