Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Oohh, hata hivyo mimi shida yangu haikuwa kwenye suala la wewe kuzijua hizo nyimbo ila hapo kwenye huo uhenga hapo.
Haki ya Nani nazijua.

Kipindi hicho Kaka zangu ilikuwa wakirudi likizo masaa 24 wanaweka hiyo miziki..Tena wanaweka sauti kubwa Sana.
Nilikuwa nakasirika ila baadaye nikazoea Hadi nikazikariri maana kila siku nilikuwa nazisikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom