moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Daaah! Upo vizuri AnneNataka kuwa na girlfriend
Mwenye kucha za kung'aa
Pamba za kuendana na Mimi
Nataka kuwa na girlfriend
Kwenye shida na karaha anitoe mashakani[emoji443][emoji446][emoji442][emoji441]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwamaka Kaihula (GK) nahisi ni mtu wa kwenu huyu hoodmate wangu
🙌🙌🙌🙌🙌Dunia Ina mambo
Nipo Kwenye mitaa,wazushi wamezagaa,majungu yamejaa
Duniani ukizubaa ..nanana sijui Nini
Duniani ukizubaa hupati kitu kabisa hupati kitu kabisa
Huu wimbo niliupenda Sana
Enzi hizo zetu wahenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Malumbano ndani ya mapambano ni sawa ila malumbano nje ya mapambano si sawaKatika mapamano kuna wakati lazima tulumbane tukigombea silaha za mapambano
Malumbano ndani ya mapambano ni sawa ila malumbano nje ya mapambano si sawa
Nyie watoto Nani aliyewaroga?[emoji23][emoji23]Heshimu wakubwa wako
Mkuu Kiberenge.
Jina lako linanikumbusha kitambo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ukitoka tunakusachi mwili mzima.[emoji1787]
Haki ya nani, yaani uvae vae nguo zetu na usinunue, siyo bure utakuwa na mpango wa kutudokolea vyupi vyetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]