Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200322_125721.jpg
 
Utaachaje kuzipenda nguo original kabisa.
Yaani majina makubwa kama wrangler, Levi's, nike, adidas, kappa, umbro.Lee. usipendeze?
Hizo hata kama huna damu ya nguo lazima zikupendezeshe
Nisipozipenda sinunui
Hata Kama nimejaribu zote.

Halafu mbona siku zote hizo hukunambia Kama unauza nguo..ningekuja kujizolea mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom