moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huku kwetu hali ya hewa ni mawingu, mvua na ukungu
AmenPumzika kwa amani KennyView attachment 1395671
Ngoja niwaache.
Watu wakiniona nabishana na andaeitini,wataniona kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wa 2000Anajikuta na yeye 'eji go'
Kumbe wa 2000
Hahah!Hapo sasa
Oooopppsss!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ni wewe dadke au.
Dadake duuuuuu
Akikupa jibu unitag jirani. Niko tayari kwenda Maneromango kupeleka mkaja kwa Bibi! [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndiyo wewe shemeji kipenzi?
Kani wi toki?
munapokuwa kwenye pumziko huwa hamutembelei tovuti nyenginezo?Hehe, kuna mtu aliwahi sema JF huwa hatupotei tunapumzika tu.
[emoji40][emoji40][emoji40]Sijamalizia kusoma comments
Ila jueni tu Kama mliweka picha wakati sipo,mjiandae kuweka Tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app