carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwema mzee[emoji16][emoji16]
Kwema mzee[emoji16][emoji16]
Kwema carba, habar ya uzima?Kwema mzee[emoji16][emoji16]
Ina mission na ishu za kipelelezi..hasa hasa terrorist kwa season 1...ni aina ya series kama the blacklist,homeland,condor,berlin station na strike back..
ahsante sana ila pia pumbavu zako kwa kunitajia mlolongo mkubwa wa series.......Ina mission na ishu za kipelelezi..hasa hasa terrorist kwa season 1...ni aina ya series kama the blacklist,homeland,condor,berlin station na strike back..
Itafute uangalie hautajutia muda wako.
Oooopppsss!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hehehehehe aiseeeahsante sana ila pia pumbavu zako kwa kunitajia mlolongo mkubwa wa series.......
peak blinders + good doctor (american remake) = ndizo nilizoangalia maishani mwangu
alidhani labda daemusin pia ni mlevi wa series za kimagharibi....Hehehehehe aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23] naona amekupatia chimbo jipya la kuondolea stress. Ila daemusin kibokoalidhani labda daemusin pia ni mlevi wa series za kimagharibi....
ngoja wiki hii nilinde ikulu usiku nipate kuipakua hiyo jack ryan
alikuwepo jirani yetu alibahatika kuzaa mapacha mara mbili............ (ni ndoto yangu kuzaa mapacha) baadae nichukue likizoUtafiti wa madktari umeonyesha wamama wasiotumia nyama wana nafasi kubwa ya kupata mapacha. Kupungua kwa kiwango cha mapacha miaka ya 1990 ilisababishwa na matumizi ya madawa ya kukuzia ng’ombe kwa ajili ya maziwa na nyama.
hapana hapana......wazungu hawanipi mzuka (naweza kuiangalia miezi 6 bila ya kuimaliza)[emoji23][emoji23][emoji23] naona amekupatia chimbo jipya la kuondolea stress. Ila daemusin kiboko
Ndoto yangu kupata triplealikuwepo jirani yetu alibahatika kuzaa mapacha mara mbili............ (ni ndoto yangu kuzaa mapacha) baadae nichukue likizo
mchanganyiko, au jinsi moja?Ndoto yangu kupata triple