Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mdada kachukua simu ya mpenzi
wake na kujibeep kwa lengo la
kujua mwenzi wake kamsave
kwa jina gani,huku akiwa na
matumaini ya kukuta jina kama
wife,sweet,darling,honey, lahaulah kubeep tu kakuta jina la
RASHIDI FUNDI BOMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…