Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Cheiii hujasahau tu[emoji23][emoji23][emoji23]Ukijumlisha na wale wanne,jumla unakuwa na watoto saba..
Kila la kheri Esta.
Naiweka kwenye list yangu hii, nasikia kunakajamaa humo ndani akili zake kanazijua kenyewepeaky blinders ilijaa ngono (ila ilikuwa bonge ya series kuanzia season 1 mpaka 4)
season 5 sikuipenda.
watu wa Bara hamuzai sana.Ukijumlisha na wale wanne,jumla unakuwa na watoto saba..
Kila la kheri Esta.
Uwiiii sijui niitafute[emoji23][emoji23][emoji23]peaky blinders ilijaa ngono (ila ilikuwa bonge ya series kuanzia season 1 mpaka 4)
season 5 sikuipenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengi tutaiangalia hiiNaiweka kwenye list yangu hii, nasikia kunakajamaa humo ndani akili zake kanazijua kenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23] labda virus washambulie file la kutunzia data..kumbukumbu zipo mwake kabsaCheiii hujasahau tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Amen
Wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiii sijui niitafute[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..tujuane mapema tutakao iangalie hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengi tutaiangalia hii
Hii ilikua enzi hizo,huku walikua wanafikisha hata 12watu wa Bara hamuzai sana.
sisi wapemba hususani wale tunaotokea maisha ya pangu pakavu unaweza kuikuta familia moja ina watoto 8-10
utafute na earphone.Uwiiii sijui niitafute[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubirie waje carbamazepine Khantwe The Happiness Davet nani mwingine anaependa series Zoë au Depal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..tujuane mapema tutakao iangalie hii
Mwendo wa kimya kimya tu full kufaidia aaah pasaka ifike tu[emoji23][emoji23][emoji23]utafute na earphone.
kuna jinsia umeisahau kuitaja.
hii corona kila inapozidi ndio wananipa muda zaidi wa kuangalia seriesnaona amekupatia chimbo jipya la kuondolea stress. Ila daemusin kiboko
[emoji23][emoji23][emoji23] hamna humukuna jinsia umeisahau kuitaja.
transgender
Hahahkuna jinsia umeisahau kuitaja.
transgender