Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

punguza urojo mkuu, unaelekea kubaya..

peaky blinders hii ilinishinda, ni nzito sana inahitaji muda wa kutulia zaidi..ntaitafutia muda wake
hii familia ni shidaaaa (wote ni wendawazimu ila wanaijua biashara na fitina yake)
1584880702951.png


lakini baadae walikutana na huyu mwehu mwenye asili ya italy alikuwa anatumia jina la luca changretta

1584880824569.png
 
Maumivu ya mara kwa mara ya mgongo ni ishara ya kuongezeka uzito kwa haraka, na kuongezeka kwa homoni ndani ya mwili. Kusimama wima na kuweka kifua mbele huweza kusaidia kukufanya upumzike vyema. Na kuvaa viatu visivyo na soli ndefu pia husaidia, wakati mwingine epuka kukunja magoti kwa muda mrefu wakati wa kukaa.
 
Natumaini ufyatuaji wa series hautasimama kama wa epl tutakosa uhondo
epl acha waendelee kusimama.........
kinachowakuta wataliano ni hatari.

watu 700 wanakufa siku moja bila hata ya kupigwa risasi.
shikamoo mafua ya kichina.
mimi huku habari za watu 12 kuwa na corona wala hazijanipa stress
 
Kupata haja ndogo mara kwa mara, ni jambo la kawaida wakati wa ujauzito. Lakini wakati una ujauzito wa mapacha haja ndogo inaongezeka zaidi kwasababu mfuko wa uzazi unakandamiza kibofu cha mkojo hivyo kusababisha kupata haja ndogo mara kwa mara. Ni vizuri pia kupata haja kubwa, hakikisha unakula vyakula laini na vimiminika vya kutosha.
 
epl acha waendelee kusimama.........
kinachowakuta wataliano ni hatari.

watu 700 wanakufa siku moja bila hata ya kupigwa risasi.
shikamoo mafua ya kichina.
mimi huku habari za watu 12 kuwa na corona wala hazijanipa stress
Huku kwetu kawaida mno yaan hata mtu akohoe hamna anayeshtuka watu hawajaona hatari yake nadhan wanasubiria afe mmoja awe mfano
 
Mwili wako unahifadhi maji mara mbili zaidi wakati ujauzito wa kawaida, ambayo yanakusaidia kuepuka tatizo la “edema”. Maji yanahifadhiwa mwilini ili kurudishia yale yaliotoka. Matunda kama matikiti maji, tofaa, machungwa, mapeasi na mananasi yanasaidia kuhakikisha mwili una maji ya kutosha. Acha kuvuta sigara na hakikisha ulaji wa chumvi ni wa kiwango kidogo.
 
Uchunguzi wa “Alpha fetoprotein test (APF)” unaofanyika baada ya miezi sita kuhakikisha kiwango cha protini kinatolewa na kijusi kwenye maini yake. Kiwango cha tofauti cha APF kinaweza kuonyesha uwepo wa mapacha kwasababu kitaongezeka mara mbili.
 
Back
Top Bottom