Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

copy and paste kutoka kwa MSEZA MKULU

March 30, 1867: Kosa kubwa la Kihistoria walilofanya URUSI na kuwapa nafasi US kuwa Kiranja wa Dunia
Kuna sababu nyingi za kiuchumi,Kiintelijensia, Conspiracy, Kisiasa, Kidini hata kihistoria kwa nini US ni Taifa kubwa na hana mpinzani Duniani. Kuuzwa kwa ALASKA March 30, 1867 ninatafsiri kuwa mlango mkubwa kwa Marekani Kufanikiwa.

Enzi hizo alaska ilikuwa ni kituo cha biashara ya kimataifa.Mji mkuu uliitwa na warusi Novoarkhangelsk. Hapa alaska walikuja watu wa mbalimbali maana kulikuwa na biashara nono kama njia ya kulifikia soko ambalo ilikuwa ni US. Watu walileta Sufi,Majani ya chai,Pembe,Mazao maana ilikuwa ni shortcut ya kupeleka bidhaa US.huku wakirudi makwao wengi wakiwa ni wachina na samaki kutoka alaska. Kulikuwa na viwanda, migodi ya makaa ya mawe na fununu ya uwepo wa dhahabu yaani dunia bado inashangaa kwa nini Russia waliuza?
1584882574819.png
 
ili niende hospitali niwe nimezidiwa.
panadol ziwe hazifanyi kazi mwilini mwangu.


tumbo la kuharisha = tiba yake ni karafuu na juisi yenye gesi nyingi
homa = panadol mbili kila baada ya muda
mafua = kuna dawa fulani sijui hata zinaitwaje (nimenunua tena juzi)

hayo ndio magonjwa yangu ya mara kwa mara.
hospitali nahisi kama naibiwa pesa.

siku hizi daktari ukimuona anataka pesa utadhani mwanamke kahaba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee panado sipendi

Mafua kama kawaida kwangu yamepageuza home sweet home ila saiv yamesimama kwa muda
 
Alexander Baranov, alipewa kazi ya kuisimamia Alaska. Alifungua mashule na kuwafundisha lugha wazawa wa alaska, kilimo na kama haitoshi akao binti wa hapo. RUSSIA AMARICA COMPANY (RAC) ya kirusi ilikuwa ndio gangwe wa biashara zote pale alaska ikiwemo na migodi ya Makaa ya mawe. Hii iliundwa na wajasiliamali shupavu walilipa kodi za mamilioni kwa Serikali ya Russia maana walipata faida zaidi mara 1000.Watawala na familia zao walijimilikisha hisa kwenye kampuni hilo na kujitajirisha sana.
 
Uamuzi wa kuuzwa kwa ALASKA uliibua hisia mbalimbali kote marekani na Urusi. Vyombo vya habari urusi vilipiga kelele na kuhiji Tutauzaje ardhi ambayo tumeihangaikia kiasi hicho? Ardhi ambayo Madini hadi dhahabu imepatikana na pia kuna mawasiliano?

Huko USA pia magazeti yalihoji, Yaani kwa nini serikali ikatumie kodi za wananchi kwenda kununua barafu, eneo lenye waeskimo wanaoishi kama wanyama?Hata bunge la congress lilikataa. Baada ya mvutano mkali Hundi ilisainiwa ya ununuzi wa eneo lenye hekari 1.5Millioni kwa pesa za kitanzania 14Milioni wakinunua kila hekari kwa shilingi 10,000 ya kitanzania na alaska kuwa chini ya USA.
 
Haikuchukua muda mrefu US waligundua Dahabu nyingi sana huko alaska,Mafuta,Chuma na Mbao. Ndani ya miaka kadhaa wakawa wamesharudisha pesa yao na faida Lukuki. Alaska ikaiingizia serikali ya marekani mamillioni ya pesa kuliko walivyotarajia. Huku urusi wakiishia kutoa visingizio vya vita vya crimea kuwa Uingeleza ingewashinda na kuwanyang'anya alaska bora waliiuza lakini ikumbukwe viongozi walikuwa wameshajinufaisha na kushiba.
 
Bora sembe huo urojo ukijamba sijui watu watakua kwenye hali gani 🏃‍🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
ndio raha ya urojo harufu yake ya ushuzi inajulikana (mchanganyiko wa recipe mbali mbali)
harufu ya ushuzi wa maharage unajulikana.

sembe mhhhhhhhhhhhhhhhh
hivi ukila sembe unajamba?
huo ushuzi utokee wapi?
 
Naiweka kwenye list hii
Navile leo nina mpango wa kushusha series[emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo napenda kuangalia movie on a big screen sijui itakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134]

Davet hawezi kosa najua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubirie waje carbamazepine Khantwe The Happiness Davet nani mwingine anaependa series Zoë au Depal

Kuna series ya heroes niliipenda ila niliishia sijui ni episode au ni i ya tatu au nne kwa njia ya CD
 
epl acha waendelee kusimama.........
kinachowakuta wataliano ni hatari.

watu 700 wanakufa siku moja bila hata ya kupigwa risasi.
shikamoo mafua ya kichina.
mimi huku habari za watu 12 kuwa na corona wala hazijanipa stress
Zitakupaje stress na mzee baba mwenyewe anakwambia corona ni ugonjwa wa kishetani??
 
Aiseee, huwa napenda sana series ila ni mvivu kuzimalizia sijui kwanini. Hadi nimejikuta naishia kuangalia movies tu, series nimeacha sababu najua hata nikizianza kuzimaliza itakuwa shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tusubirie waje carbamazepine Khantwe The Happiness Davet nani mwingine anaependa series Zoë au Depal

Kuna series ya heroes niliipenda ila niliishia sijui ni episode au ni i ya tatu au nne kwa njia ya CD
 
kuna siku nilipatwa na tumbo la kuharisha mara kwa mara (kipindi hicho zenji kuna kipindu pindu miaka takribani miwili iliopita)

nilipiga kelele kuliko mpiga chabo anapokamatwa....
mama weeeeeeeeeee nakufaaaaaaaa.
presha ilipanda ghafla.

ukitoka nje unaambiwa leo watu 10 wamepelekwa hospitali ya kipindu pindu.
leo watu wawili wamekufa kwa kipindupindu.
presha ikazidi kupanda

nilitafuta chupa la maji nikachangaya na ORS (oral rehydration salt), karafuu, chumvi ya madonge, chumvi ya uchawini, mdalasini, hiliki, pilipili manga, soda za bakhressa

utadhani nilikuwa najiandaa kupika biryani masala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom