Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchunguzi wa “Alpha fetoprotein test (APF)” unaofanyika baada ya miezi sita kuhakikisha kiwango cha protini kinatolewa na kijusi kwenye maini yake. Kiwango cha tofauti cha APF kinaweza kuonyesha uwepo wa mapacha kwasababu kitaongezeka mara mbili.
 
Ujauzito wa mapacha unahitaji mzunguko mwingi wa damu kuhakikisha ukuaji bora wa watoto, ongezeko la damu husababisha shinikizo la damu kuongezeka hasa katika mishipa ya damu ya miguu ijulikanayo kama “varicose veins”. Hatahivyo mkandamizo wa mtoto katika mfuko wa uzazi unaongeza upana wa mishipa hasa ile ya kizazi.
 
Katika wiki ya nne mpaka ya tano ya ujauzito wa mapacha unaweza kuwa na matiti yanayowasha na kuuma. Hii ni kwasababu ya mabadiliko ya homoni ndani ya mwii wako mpaka wiki ya sita, chuchu nazo huzidi kuwa nyeusi na kuuma pia, kuvaa sidiria za uzazi zinaweza kusaidia kupunguza maumivu.
 
Ujauzito wa mapacha unaweza kuongeza zaidi uwezekano wa kupata msongo wa mawazo baada ya kujifungua. Kwasababui inamchukua mama muda mrefu zaidi kubadili ratiba baada ya kujifungua. Tofauti na ujauzito wa kawaida mama wa mapacha anachoka zaidi kwasababu inambidi awalishe zaidi. Mazoezi kidogo na mapumziko yakutosha huweza kusaidia katika kipindi hiki. Unaweza kuongea na wazazi wengine juu ya taratibu na mambo gani yafanyike kutoka kwenye ujuzi walionao kwenye uzazi wa mapacha.
 
Kweli haya magonjwa ndio yanayotupelekesha balaa
kuna siku nilipatwa na tumbo la kuharisha mara kwa mara (kipindi hicho zenji kuna kipindu pindu miaka takribani miwili iliopita)

nilipiga kelele kuliko mpiga chabo anapokamatwa....
mama weeeeeeeeeee nakufaaaaaaaa.
presha ilipanda ghafla.

ukitoka nje unaambiwa leo watu 10 wamepelekwa hospitali ya kipindu pindu.
leo watu wawili wamekufa kwa kipindupindu.
presha ikazidi kupanda

nilitafuta chupa la maji nikachangaya na ORS (oral rehydration salt), karafuu, chumvi ya madonge, chumvi ya uchawini, mdalasini, hiliki, pilipili manga, soda za bakhressa

utadhani nilikuwa najiandaa kupika biryani masala.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee

Ulipona bila kwenda hospital?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee

Ulipona bila kwenda hospital?
ili niende hospitali niwe nimezidiwa.
panadol ziwe hazifanyi kazi mwilini mwangu.


tumbo la kuharisha = tiba yake ni karafuu na juisi yenye gesi nyingi
homa = panadol mbili kila baada ya muda
mafua = kuna dawa fulani sijui hata zinaitwaje (nimenunua tena juzi)

hayo ndio magonjwa yangu ya mara kwa mara.
hospitali nahisi kama naibiwa pesa.

siku hizi daktari ukimuona anataka pesa utadhani mwanamke kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…