Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabla sijafika hapa nimemuona Dr.Obuku (Rais wa zamani wa Chama cha Madaktari), alikuwa anaongeaga upuuzi siku za nyuma, nadhani corona inawarudishia Watu akili zao, nimemsikia anaongea vitu vya msingi kwa mara ya kwanza, anawaambia Watu watulie majumbani"-MUSEVENI
 
nimeangalia maigizo ya wakorea, wachina, thailand, wazungu pori lakini wanawake wa kihindi ni kiboko yao.
mwanamke wa kihindi akianza kulia na kulalamikia jambo fulani unaweza kudhani hayupo kwenye maigizo.

kwa jinsi wanaume tulivyo na huruma tunajikuta tunawakubalia mahitaji yao.
mwanamke wa kihindi unaweza kumhonga millioni 200 pindi anapoanza kunung'unika

shikamoo wanawake wa kihindi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marahabaaa

Naona unaleta Janja Janja Kwahiyo bwana yule ndiyo hana thamani kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata nacheka nini ila nahisi utakuwa umeharibu
Nimeharibu eeeh!!!
Sijasoma nyuma nini kilikuwa kinaongelewa. Bradha nimekukwotua bila kufuatilia ya nyuma
Ankoo naomba tufute hizi komenti tulizo kwotuana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…