Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata hivyo, kwa sasa kuna wachezaji wameibuka na kuliteka soko la dunia ambapo, thamani ya Messi na Ronaldo zimetupwa mbali sokoni.
Ni mvi tumbona mke wake kenyatta ni mzee sana?
uliposema unatamani upate mapacha watatu nimekumbuka nyakati zile nafuatilia variety show inayoitwa return of superman.Maumivu ya uzazi ni jambo la kawaida wakati wa ujauzito wa mapacha na unahitaji uangalizi wa madaktari kwa haraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uvumilivu muhimu sanauliposema unatamani upate mapacha watatu nimekumbuka nyakati zile nafuatilia variety show inayoitwa return of superman.
siku moja song il kook ahjussi alikuwa anasimulia baadhi ya matukio yaliojiri pindi mke wake alipokuwa mjamzito.
song anasema daktari aliwashauri wamtoe tumboni mtoto mmoja ili kulinda afya ya mke wake pamoja na watoto lakini mke wake akalikataa pendekezo la daktari.
View attachment 1396252
sijui na wewe utaweza kuvumilia kama utakumbana na matatizo ili ndoto yako itimie?
View attachment 1396254