Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464917764_253689.jpg
 
Lakini, licha ya Perez kukubali kuwa Pogba ni mmoja kati ya viungo bora duniani, lakini msimu huu amekaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha ya mara kwa mara hivyo anaamini kuwa kiwango chake kinaweza kuwa kimeathirika.
 
Hivyo, kujitoa kwa Real Madrid kunaipa timu hiyo nafasi ya kipekee kwenye mbio za kumsaka kiungo huyo, japokuwa na kwao pia bei inaweza kuwa tatizo katika kipindi hiki ambacho klabu nyingi zimetetereka kiuchumi kutokana na corona.
 
Back
Top Bottom